EMAX Products

FEEDPRO EMAX > EMAX Products

EM.1®

Hii ni bidhaa ya EM ambayo inakuja katika mchanganyiko wa juu. Bidhaa hii ina uwezo wa kuzalishwa na kupata Lita 20 za EM kwa maelezo Zaidi gonga hapa Hii ni bidhaa ya EM ambayo inakuja katika mchanganyiko wa juu. Bidhaa hii ina uwezo wa kuzalishwa na kupata Lita 20 za EM kwa maelezo Zaidi gonga hapa.

SHOP NOW

EM1-1a
EMAX BIO LIQUID-1a

EM Ax Bio Liquid

Hii ni Bidhaa inayozalishwa kutokana na EM.1® Lengo hasa la bidhaa hii ni kwa wateja wetu ambao wana matumizi machache ya EM. Inapatikana kwenye ujazo wa nusu lita tu. Bidhaa hii ina matumizi mbalimbali inafaa kwenye kilimo utunzaji wa mifugo na katika usafi wa mazingira pia. Kutokana na kuwa katika hali ya kimiminika bidhaa hii hufaa Zaidi kwenye mifumo ya majimaji kwa vile ni rahisi kuchanganyika.

SHOP NOW

EM Ax – Safisha

Hii ni bidhaa ya EM iliyoandaliwa maalumu kwa ajili ya mifumo ya kimazingira. Ni nzuri katika kukomesha harufu kwenye vyoo na mabanda ya mbwa, nguruwe na katika mifumo ya maji taka.

SHOP NOW

EMAX SAFISHA
EMAX MOLASSES

EM Ax Molasses

Hii ni bidhaa saidiizi inayotumika pamoja na bidhaa ya EM.1®. Hutumika kama kiungo muhimu katika kuzalisha EM.1® ili kuwezesha kufanyika kwa mchakato wa matumizi ya EM.1® kwa wanyama, kilimo, biogas na usafishaji wa maji taka. Namna ya kuchanganya angalia maelezo ya bidhaa ya EM.1®

SHOP NOW